Mkuu wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia haki za binadamu Volker Turk amefahamisha kuwa shughuli za shirika hilo zimekwama kutokana na ukosefu wa fedha kutokana na wafadhili kuacha kutoa ufadhili au kupunguza fedha walizokuwa wakitoa
. Mkuu huyo amesema hali hii imetatiza uendeshaji wa kazi za shirika hilo katika mataifa 17.
Chanzo; Dw