Idadi ya vifo kufuatia maandamano yanayoendelea kuitikisa Iran imeongezeka na kufikia watu 3,428, hayo ikiwa ni kulingana na shirika la haki za binadamu la Iran.
Maandamano hayo yamezusha pia hali ya wasiwasi baada ya Marekani kutishia kuingilia kati na Iran ikionya kuwa italipiza kisasi. Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake katika kambi zilizopo Mashariki ya Kati, huku Uingereza ikitangaza kuufunga kwa muda Ubalozi wake mjini Tehran.
Chanzo; Dw