Jumla ya watu 130 nchini Rwanda walifariki dunia kutokana na kupigwa na radi kati ya mwezi wa kwanza wa mwaka jana wa 2025 na mwezi wa kwanza mwaka huu wa 2026. Takwimu hizi zinajumuisha vifo vya watu wengine 9 waliofariki dunia katika jimbo la mashariki mwa Rwanda wiki hii baada ya kupigwa na radi wakiwa njiani kutoka shambani.
Chanzo; Dw