Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewafuta kazi Waziri wa Afya lijah Muchima na Elias Mubanga, anayeshughulikia maendeleo ya biashara ndogo na za kati.
Mabadiliko hayo, yanatokana na kifungu cha 116(3) (a) cha Katiba ya Zambia.
Chanzo; Itv
We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.