Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Rwanda Yakiri Kushirikiana na Waasi DRC

Kwa mara ya kwanza Rwanda imekiri kuwa inashirikiana na kundi la waasi wa AFC/M23 katika vita vinavyoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mathilde Mukantabana ameiambia kamati ya Bunge nchini Marekani kuwa Rwanda inafanya hivyo ili kulinda maslahi ya raia wa Kongo wanaozungumza kinyarwanda lakini pia kuzuia uwezekano wa kutokea mauaji mengine kama yale yaliyotokea Rwanda mwaka 1994.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: