Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

UN,Majaribio ya Kumuua Rais wa Syria

Imebainika kwamba rais wa Syria Ahmad al Sharaa na mawaziri wake wa ndani na nje walinusurika kuuawa mara tano kwenye njama dhidi yao mwaka uliopita, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa juu ya kitisho cha kundi lijiitalo Dola la Kiislamu, IS, ripoti iliyotolewa wakati Marekani ikiondosha vikosi vyake Syria vilivyodaiwa kuwako huku kupambana na kundi hilo.

Ripoti hiyo, iliyotolewa Jumatano na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, inaangazia kwa kina mazingira ya kiusalama nchini Syria na juhudi za makundi ya kigaidi kudhoofisha serikali mpya ya nchi hiyo.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: