Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Wezi Wavamia Duka la Vito, Waiba Bidhaa za Dola Milioni Moja

Kikundi cha watu karibu 25 wenye silaha kilivyovamia duka la vito huko San Ramon, California.

Kwa mujibu wa polisi bidhaa zenye thamani ya karibu dola milioni 1 ziliibiwa wakati wa wizi huo unafanyika.

Watu watatu walikuwa na silaha za moto, huku wengine wakibeba zana kama fimbo za chuma, zana zinazoweza kutumika kuvunja milango.Hakukuwa na majeruhi.


Washukiwa kadhaa walikamatwa baadaye baada ya polisi kufuatilia magari yao. Uchunguzi bado unaendelea.

 

Chanzo: Bbc Swahili

Kuhusiana na mada hii: