Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lisema mwanaharakati wa Kitanzania, Mshabaha Hamza, alitekwa nchini Kenya lakini akaokolewa kabla ya kurejeshwa kwa nguvu Tanzania.
Hamza, aliyekuwa uhamishoni kwa miaka minne na mkosoaji mkubwa wa vurugu za Oktoba 29, alitupwa Lukenya akiwa amepoteza fahamu baada ya kupambana na watekaji.
Chanzo; Dw