Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Bila Makubaliano Iran Itakuwa na Majuto Makubwa Adai Trump

Rais Donald Trump amekanusha taarifa kwamba mkuu wa majeshi ya Marekani, Jenerali Dan Caine, aliwahi kuonya juu ya hatari za operesheni dhidi ya Iran. Trump amesema ripoti hizo “si za kweli” na kudai kuwa Marekani “ingeishinda Iran kwa urahisi” endapo vita vingalizuka.

Vyombo vya habari vya Marekani vimemnukuu Caine akionya kuhusu hatari za mzozo wa muda mrefu, upungufu wa silaha na uwezekano wa vikosi vya Marekani kukumbwa na vifo endapo mashambulizi yangelifanyika.

Trump amesema bado anapendelea diplomasia, lakini akatahadharisha kwamba kukosekana kwa makubaliano “kutakuwa siku mbaya sana” kwa Iran.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: