Rais Donald Trump wa Marekani ameeleza kwa ufupi sababu za kuchukua hatua dhidi ya Iran, akidai kuwa inatengeneza makombora yanayoweza kushambulia Marekani.
Amesisitiza kuwa “hatakubali kamwe Iran, mfadhili mkuu wa ugaidi, kumiliki silaha ya nyuklia.”
Chanzo; Dw