Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mazungumzo Kati y Irani na Marekani Yamalizika Geneva

Duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imefanyika mjini Geneva chini ya usimamizi wa Oman.

Muda mfupi kabla ya mazungumzo hayo, kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, alitoa onyo kwa Rais Donald Trump, akisisitiza kwamba Marekani "haiwezi kuiangusha Jamhuri ya Kiislamu."

Kauli ya Khamenei ameitoa kwenye hotuba yake kwa taifa hii leo siku chache baada ya Trump kusema mabadiliko ya kiutawala ni kitu muhimu kinachopaswa kufanyika Iran.

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: