Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Majina Mkabwa Yaliyotajwa Kwenye Epstein Files

Epstein Files ni nyaraka za mahakama, ushahidi wa waathiriwa, na rekodi mbalimbali zinazohusiana na mtandao wa unyanyasaji wa kingono uliokuwa unaendeshwa na Jeffrey Epstein.

MAJINA MAKUBWA YALIYOTAJWA MARA KWA MARA KATIKA “EPSTEIN FILES”

WANASIASA & VIONGOZI WA DUNIA
• Donald Trump
• Bill Clinton
• Ehud Barak
• Miroslav Lajčák

UFALME
• Prince Andrew
• Sarah Ferguson (alitajwa kwenye mawasiliano ya kifedha)
• Mette-Marit (jina lake limeonekana kwenye nyaraka za mawasiliano)

BIASHARA & MABILIONEA
• Elon Musk (alitajwa kwenye mawasiliano ya serikali)
• Bill Gates
• Richard Branson
• Leon Black
• Les Wexner

BURUDANI & MITINDO
• Kevin Spacey
• Chris Tucker
• Mick Jagger
• Michael Jackson
• Naomi Campbell
• Alec Baldwin

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: