Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Ahukumiwa Kifo kwa Kuua Gen Z

Mahakama nchini Bangladesh imemhukumu kifo Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Sheikh Hasina kutokana na ukandamizaji mbaya wa maandamano dhidi ya serikali mwaka jana.

Mahakama imebaini kuwa aliamuru ukandamizaji wa maandamano ya wanafunzi mwaka jana tukio ambalo Umoja wa Mataifa unakadiria liliua hadi watu 1,400.

Huku hukumu ya kifo ikitangazwa dhidi ya Sheikh Hasina, shangwe zilitanda ndani na nje ya mahakama.

 

Chanzo; Bbc

Kuhusiana na mada hii: