Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Makaburi ya Halaiki Yagundulika Uvira Baada ya M23 Kuondoka

Mwezi mmoja baada ya waasi wa AFC‑M23 kuondoka Uvira, makaburi manne ya halaiki yamepatikana katika eneo hilo la Kivu Kusini, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ugunduzi huu umeibua hasira na hofu miongoni mwa wakazi, ambao wanataka maelezo thabiti kuhusu miili iliyopatikana, hasa wakati familia nyingi bado hazijui hatma ya vijana wao waliokamatwa na AFC/M23.

Witu wa kutaka uchunguzi huru dhidi ya tukio hilo wazidi kutolewa.

 

 

Chanzo; Dw

Kuhusiana na mada hii: