Bwana huyu alitifua kivumbi alipokabiliwa na maafisa 10 wa uhamiaji ICE alipokutana nao uso kwa uso wakati wakitekeleza amri ya rais Donald Trump ya kuwasaka na kuwakamata wageni na wahamiaji wasiokuwa na vibali halali vya kuishi na kufanya kazi Chicago Marekani.
Chanzo: Bbc Swahili