Takriban watu 40, wakiwemo wanafunzi, wameuawa na wengine 48 kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya Israel kulenga shule ya msingi ya wasichana katika mji wa Minab katika mkoa wa Hormozgan kusini mwa Iran, vyombo vya habari vya Iran viliripoti.
Chanzo; Eatv