Serikali ya Marekani sasa imesimama kwa siku 36 mfululizo, na kufanya kuwa muda mrefu zaidi katika historia.
Baadhi ya malipo ya ustawi wa jamii, ikiwemo misaada ya chakula kwa familia zenye kipato cha chini, yamesitishwa.
Kusimama huku kwa shughuli za serikali kumewaacha zaidi ya wafanyakazi milioni moja bila mishahara.
Mgogoro wa Bajeti Waisimamisha Serikali ya Marekani kwa Rekodi Mpya yatinga siku 37
Chanzo; Bongo 5