Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Siri Yavuja Jaji Kuvunj Kalamu Baada ya Hukumu ya Kifo

Kitendo cha Jaji kuvunja ncha ya kalamu baada ya kusaini hukumu ya kifo ni moja kati ya tamaduni za kale na zenye hisia kali zaidi katika mfumo wa sheria wa Common Law, uliorithiwa kutoka kwa Waingereza.

Kwa karne nyingi, utaratibu huu ulionekana kama sehemu isiyoepukika ya kutoa haki, ukiongeza uzito wa kiroho na kisheria katika maamuzi yanayogusa uhai wa binadamu.

Hata hivyo, katika ulimwengu wa sasa, utamaduni huu umeanza kufifia na kubaki kama kumbukumbu ya kihistoria. Hii inatokana na mabadiliko ya mifumo ya kidijitali, kuondolewa kwa adhabu ya kifo katika mataifa mengi, na msisitizo zaidi kwenye taratibu za kimaandishi kuliko ishara za kimila.

Licha ya kufifia huko, kitendo hicho bado kinaheshimika kutokana na falsafa nzito zilizojificha nyuma yake.

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: