Maelfu ya Wasyria waliokimbia mapigano kati ya serikali na wapiganaji wa Kikurdi wa SDF wameanza kurejea mjini Aleppo baada ya kusitishwa kwa mapigano kurefushwa.
Umoja wa Mataifa umeanza kupeleka misaada, huku miji jirani kama Kobane ikikumbwa na uhaba wa mahitaji muhimu.
Chanzo; Dw