Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza rasmi kujiondoa katika mashirika na taasisi 66 za kimataifa, ikieleza kuwa taasisi hizo hazina tija kwa maslahi ya taifa hilo wakati ambao wanaendelea kufanya tathmini ya mashirika mengine ya kimataifa.
Uamuzi huo, unatekelezwa kufuatia sera ya Marekani Kwanza (America First), ikihusisha mashirika 35 yasiyo chini ya Umoja wa Mataifa pamoja na mashirika 31 yaliyo chini ya Umoja wa Mataifa.
Chanzo; Crown Media