Rais wa Marekani Donald Trump amepokea medali ya Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka kwa kiongozi wa upinzani wa Venezuela, María Corina Machado, kama ishara ya kutambua mchango wake katika juhudi za kudai uhuru na demokrasia nchini Venezuela.
Hata hivyo, Trump si mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, kwani medali hiyo ni ya Machado binafsi. Hatua hiyo imeibua mjadala, ikizingatiwa kuwa maono ya Tuzo ya Amani ya Nobel yanasisitiza misingi ya amani, mazungumzo na kutokutumia nguvu.
Chanzo; Cnn