Serikali ya Nigeria imepinga vikali vitisho vya kijeshi vilivyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu madai ya mateso dhidi ya Wakristo nchini humo. Msemaji wa Rais Bola Tinubu, Daniel Bwala, amesema Marekani haiwezi kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Nigeria bila makubaliano ya pamoja.
Chanzo; Dw