Maelfu ya waandamanaji wameandamana tena nchini Madagascar, huku polisi wakitumia mabomu ya machozi na risasi za mpira, licha ya Rais Andry Rajoelina kuvunja serikali yake kwa lengo la kutuliza machafuko ya siku kadhaa yaliyosababisha vifo vya watu 22 kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.
Chanzo: Dw