Rais wa Marekani Donald Trump asema Afrika Kusini haistahili kuwa sehemu ya kundi la mataifa 20 yenye uchumi mkubwa duniani (G20).
Mnamo Jumatano, Trump alisisitiza kuwa hatohudhuria mkutano wa viongozi wa G20 utakaofanyika baadaye mwezi huu nchini Afrika Kusini.
Afrika Kusini ndiyo kwa sasa inashikilia urais wa kupokezana wa kundi hilo.
Chanzo; Dw