Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mgodi Waporomoka, 11 Wafariki Dunia Congo

Mgodi umeanguka katika eneo la uchimbaji Tilwizembe, kilomita 25 kutoka Kolwezi, Mkoa wa Lualaba, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kulingana na nyaraka kutoka Huduma ya Usaidizi, Usimamizi na Uendeshaji wa Uchimbaji Madini Madogo na ya Kiasili (SAEMAPE), ajali hiyo ilitokea takriban saa 3 asubuhi Jumamosi, ikafunika wachimbaji wadogo waliokuwa wakifanya kazi kinyume cha sheria.

Kwa sasa, idadi ya vifo imesalia 11 huku wengine 6 wakijeruhiwa.

Mabaki ya marehemu yameopolewa na kupelekwa kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha Lualaba-Mupandja.

 

 

Chanzo; Itv

Kuhusiana na mada hii: