Zuhura Othman maarufu Zuchu mwanamuziki wa Bongo Flava nchini Tanzania pia mke wa mwanamuziki na mmiliki wa lebo ya Wasafi,Diamond Platnuzm amefunguka iwapo akifanikiwa kupata mtoto atampeleka kwa bibi yake.
Zaidi, msanii huyu amejizolea umaarufu mkubwa kote Afrika Mashariki, na kwa wengi anaonekana kuishi maisha ya kifahari, lakini mwenyewe anasema bado hajafikia hata nusu ya ndoto zake.
Chanzo: Bbc Swahili