Kwa miaka mingi, wasanii wa Kiafrika wameonekana mara kwa mara kwenye jukwaa la Grammy, wakivunja rekodi na kuliweka bara mbele na kulitambulisha zaidi katika muziki wa kimataifa.
Kuanzia Burna Boy hadi Angélique Kidjo, kwa miaka ya hivi karibuni hawa ndio wakali wa Afrika walio orodheshwa mara nyingi zaidi kwa wasanii kutoka Afrika kwenye tuzo za Grammy.
Ladysmith black mamabazo - 17
Angelique Kidjo - 16
Burna Boy - 13
Miriam Makeba - 9
Tems - 8
Youssou N'dour - 7
Soweto Gospel Group - 6 wizkid - 6
Trvor Rabin - 6
Femi Kuti - 6
Chanzo; Bongo 5