Unaambiwa ndoa iliyofungwa katikati ya show ya 'Super Bowl Halftime show' wakati Bad Bunny ana-performe ilikuwa ya ukweli na sio maigizo.
Tukio la mke na mume hao kufunga ndoa ya halali stejini limefanya kuwa tukio la kuvutia na kuzungumziwa zaidi na watu wengi ambao walishuhudia likiendelea Live na waliokuwa wanaifuatilia.
Mtumbuizaji wa 'Super Bowl' Bad Bunny aliwaalika wana ndoa hao ambao awali walimuomba msanii huyo ahudhurie harusi yao.
Chanzo; Eatv