Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

T.I Amwmwagia Matusi 50 Kisa Mama Mtoto

Mtoto wa rapa T.I 'King Harris' amemtolea maneno makali na matusi 50 Cent baada ya kumpost mama yake mzazi Tiny Harris kwenye page yake ya Instagram.

đź—Ł"Usicheze na mama yangu, weka heshima kwa mama yangu! Weka muziki lasivyo kaa kimya" amesema King Harris akisindikiza lugha kali za matusi.

Ikumbukwe 50 Cent na T.I wapo kwenye 'Verzuz Battle' ya kutambiana nani mkali kati yao na nani ana ngoma kali zaidi kwenye muziki wao.

Na T.I anasema amemshushia heshima 50 Cent baada ya kuleta drama nyingi na kumkimbiakimbia kwenye Battle hiyo.

Baada ya hapo 50 Cent akamjibu T.I kwa kupost picha ya mkewe na kuandika "Naendelea kusema jina langu litoke kinywani mwenu".

 

 

Chanzo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: