Kupitia ukuras wake wa instagram msanii Mulky Salum athibitisha kuwa sio yeye ambaye anaonekana kwenye video “Connection” ambayo imekuwa ikisambaa kwa kasi ndani ya mitandao.
“Kumekuwa na taharuki kwamba kuna connection yangu imevuja yule sio mimi, kinachofanya aonekane ni mimi ni sababu ya kipara.”
“Cha kwanza, Mimi sio muumini wa kuweka kucha ndefu yule ana kucha ndefu cha pili sina tattoo kwenye mikono yangu ukiangalia yule binti ana tattoo, tatu alama ya ngu ya kichogo.” - Mulky
Sio msanii au mtu maarufu wa kwanza watu kumfananisha msanii huyo mtangazaji kama Meena Ally amewahi kuhusishwa pia na baadae anga likasafishwa vizuri
Chanzo; Tanzania Journal