Mwanamuziki wa Ghana Black Sherif, maarufu Blacko, ametia uzito kuhusu kukosekana kwa wasanii wa Ghana katika uteuzi wa Tuzo za Grammy 2026, akieleza kuwa tasnia ya muziki ya haifahamu fahari ya kujumuishwa katika tuzo hizo.
Black Sherif anaamini kwamba kuna vipengele muhimu vya mchakato wa Tuzo za Grammy ambavyo wasanii wa muziki wa Ghana bado hawajavielewa.
Afrika yote wasanii wa nchi tatu pekee ndiyo ambao wameorodheshwa katika kuwania tuzo za grammy katika Kipengele cha Best African Music Performance
Nigeria
-Burna Boy - love
-Davido ft omahlay - With you
-Ayra Star ft Wizkid - Gimme dat
Uganda
Eddy Kenzo ft Mehran matin - Hope and Love
South Africa
Tyla - Push 2 Start
Chanzo; Bongo 5