Ni kati ya wasanii walioupata umaarufu tangu wakiwa watoto, akiwa ameanza kuimba akiwa na umri mdogo ambapo sura yake imezoeleka kwa watu wengi sana. Hata ivyo Malkia Karen anasema fedha zikimtembelea kitu cha kwanza atakachofanya ni kufanya upasuaji wa kujenga shepu.
Malkia Karen ameyasema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha The Switch cha Wasafi FM. Tembelea YouTube ya Wasafi Media kutazama mahojiano yote.