Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Wasanii Wamtosa Mkubwa Fella

Mke wa meneje wa WCB Mkubwa Fella, Sweet Fella ameshangazwa na ukimya wa wasanii na wadau wengine wakati ambao meneja wa Mkubwa na Wanae Said Fella ambaye anaugua kwa mwaka wa pili sasa.

Amesema Diamond ndiye ambaye alimpeleka India kwaajili ya matibabu.

“Chege tunamshukuru, Mbosso ndio msaada mkubwa kwetu kwa sasa. Tukitaka kumpeleka hospitali au akilazwa Mbosso ukimpigia simu moja anawezesha,” alisema Sweet Fella.

 

 

Chanzo; Bongo 5

Kuhusiana na mada hii: