Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mbosso Anunua Gari la Milioni 200

Msanii wa Bongo Fleva Mbosso Khan ametumia mtandao wake wa Snapchat kuonyesha gari lake Jipya ambalo amenunua ambalo ni zero kilometer, George Mtalaamu wa magari ameilezea zaidi gari hilo.

 

Chanzo; Clouds Media

Kuhusiana na mada hii: