Akaunti isiyojulikana imeweka video yenye urefu miaka 140 kwenye YouTube. Kwa maana kwamba, itakuchukua miaka 140 kumaliza kuitazama video hiyo.
Hakuna maelekezo ni video tu nyeupe ambayo haina details lakini imeleta maswali mengi mtandaoni kwa sababu imeonyesha YouTube inaweza kupokea video zenye urefu zaidi ya mwaka mzima.

Chanzo; Clouds Media