Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amempongeza lbraah kwa kutangaza
Uongozi wake mpya kwa sasa.
Anasema baada ya kutangaza Uongozi pia ametambulisha
GANG yake ya OYAAH GANG, amemshauri kuwa asijekujaribu kufungua lebo.
Anasema wasanii wengi Tanzania wanahisi kufungua lebo na kuitwa CEO ni sifa kumbe ni kujimaliza kimuziki, kama Ibraah anataka kupotea kabisa basi anye aige kufungua lebo.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ta YouTube ya Bongofive.