Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

R Kelly Kutoka Jela 2025 Akiwa na Miaka 79

R. Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela katika kesi ambako alipatikana na hatia ya ulaghai wa kihalifu na biashara ya ngono.

Sehemu kubwa ya kifungo chake cha miaka 20 katika kesi ya Chicago mashtaka ya uhalifu wa ngono dhidi ya watoto.

R. Kelly alipatikana na hatia ya Kutengeneza picha na video za ngono za watoto kinaendeshwa sambamba na kifungo hicho cha jela.

Licha ya kujaribu kukataa rufaa juu ya Hukumu hiyo,Rufaa zake zote zimekataliwa hadi sasa.

Anatumikia kifungo chake katika gereza la shirikisho lenye ulinzi wa kati huko Butner, North Carolina, na anatarajiwa kuachiliwa akiwa na umri wa karibu miaka 79.

 

 

Chanzo; Bongo 5

Kuhusiana na mada hii: