Msanii maarufu wa Bongo feva nchini Tanzania dhidi ya penzi lake na supastaa wakike Kajala Masanja wameendelea kushikilia vichwa vya Habari za kiburudani Tanzania, East Afrika na Afrika kwa ujumla baada ya wawii hao kufanikisha kuingia hatua nyingine ya kimahusiano kwa kumvika pete Kajala ikiwa ni siku kadhaa tangu kurudiana kwao.
“UPENDO & HESHIMA Ninayokupa Vinanirudia Kwakuwa Nakupenda Basi Najipenda Zaidi Nawaza Maendeleo Zaidii Niwe Tajiri Zaidi Nikutunze Vizuri zaidi Najikuta Natoboa
Mdogo Mdogo Nami Nasogea ALHAMDULILAH
nikipata Nafanya Vitu Vya Maana ..!!
ili nikuvutie narudi GYM ili Unisikie Zaidi Basi Nitakesha
Studio ..!! Baby your my life Inspirational
Kifupi Mimi Ndio Ninafaida Kubwa Zaidi ..!!! kati Yetu !!
Tukirudi Kwenye Heshima, Kwakuwa Nakuheshimu Najitathmini
mara kwa Mara Kabla Ya Kusema Au Kufanya Chochote Maana Kinabeba Picha Ya watu Wawili Sio Mimi Pekeangu Umenijenga And Unaendele Kunijenga Niwe gentlemen Zaidi NAHESHIMIKA
Zaidi because you wife, Kukupenda na ukuheshim sio promiss tena..!! here we are December 29.
thanks A lot for trusting and always be at my side I will
never take it for granted this is my last card kwenye Mchezo wa Maisha ..!!! 10 years later still fills like we are starting mke wangu Kajala - Anaandika Harmonize Kupitia Instagram yake Usiku wa Kuamkika Februari 5,2026

Licha ya wengi kudhani tukio hilo ni usiku huo lakini msanii huyo amebainisha kwa kuweka wazi kuwa tukio hilo lilifanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Chanzo; Tanzania Journal