Wakili wa Sean “Diddy” Combs amesisitiza kwamba habari zinazoenea kuwa alikamatwa akinywa pombe ya nyumbani akiwa gerezani ni kwa ujumla si za kweli
Katika tamko alilotoa kupitia Ukurasa wake wa X zamani (Twitter)alieleza “Hakuna sheria iliyovunywa na Bwana Combs.Ukomovu na Nidhamu yake ni kipaumbele,na yeye anazichukua kwa Umakini “
“Habari zimekuwa zikienea Baadhi ni za Uwongo na Hatari Tunaomba umma navyombo cha Habari wampe Heshima na Wamuache ajili sis he na Ukuaji wake Binafsi “ aliandika hayo wakili wa Sean “Diddy “Combs.
Msemaji wa Sean “Diddy” Combs Akanusha Taarifa za Kukamatwa kwa Kunywa Pombe Gerezani