Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Familia ya Zorro Kufanya Muziki Lazima

Kwenye familia yenu ni kitu gani cha lazamia ambacho ukiwa tu! sehemu ya familia hiyo ni lazima ukijue kivyovyote ?

Baba Zorro, akiwa moja ya msanii anayetokea kwenye familia yenye mapenzi ya dhati na muziki, ameweka wazi kitu ambacho iwapo ukiwa unatokea kwenye familia hiyo ni lazima ukijua hata kama ikitokea utafanya mambo mengine.

Akiwa kwenye mahojiano na kipindi cha burudani cha Clouds Fm, XxL Oktoba 2,2025, anasema “Watoto wangu wanafata nyayo zote ni wacheza mpira, wanapiga magitaa, vinanda. Sisi kwetu kufanya muziki ni lazima.”

“Ni ngumu kukataa ni kitu tu amekikuta, Binti yangu mdogo anachezea gitaa bila kumwambia.” - Banana Zorro

Zaidi, amedai kuwa kwa sasa wamewekeza zaidi kwenye elimu zao na iwapo itatokea kuna mmoja wao atataka kuwa msanii wak wapo tayari kufanya kwa ukubwa zaidi.

Chanzo: Clouds Media

Kuhusiana na mada hii: