Muimbaji Wa Nigeria Davido, Ameripotiwa kununua Gari 2 Za Kifahari Aina Ya ‘Rolls Royce Cullinan Mansory Edition 2025’.
Davido amedaiwa Kutumia Zaidi Ya Tsh. Bilioni 2.46/= Kwenye Kila Gari. Inadaiwa kuwa Amenunua Gari Hizo kama zawadi ya birthday yake November 23.
Chanzo; Wasafi