Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Kendrick Lamar Aikalisha Rekodi ya Jay Z Grammy

Staa wa Rap, Kendrick Lamar ameweka rekodi mpya katika Tuzo za Grammy 2026 baada ya kuwa rapa aliyeshinda tuzo nyingi zaidi katika historia, akiwa na jumla ya tuzo 27, na kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Jay-Z ya tuzo 25.

Katika Tuzo za 68 za Grammy zilizotolewa jijini Los Angeles, Marekani, Kendrick alinyakua tuzo ya Albamu Bora ya Rap (Best Rap Album) kupitia albamu yake ya GNX na tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka (Record of the Year) kwa ngoma yake ya Luther aliyoshirikiana na SZA.

Pia aliondoka na Tuzo ya Wimbo Bora wa Rap (TV Off), Best Melodic Rap Performance kupitia Luther pamoja na Uigizaji Bora wa Rap kupitia ngoma ya Chains & Whips aliyoshirikiana na kundi la Clipse.

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: