Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Rotimi Aizima Tetesi ya uachana na Vanessa

Msanii wa R&B kutoka Marekani, Rotimi, ametoa tamko rasmi kuwahakikishia mashabiki wake kuwa yeye na mama wa watoto wake, Vanessa Mdee, bado wako pamoja.

Rotimi amesisitiza kuwa kauli yake ya “hatuachani” ni jibu kwa wote waliokuwa wakitilia shaka uaminifu wake baada ya kuonekana akiwa na msanii Ronisia.

Ameeleza kuwa hakuna mgogoro kati yake na Vanessa, akisisitiza kuwa familia yao ipo imara na wanazidi kujikita katika malezi ya watoto wao pamoja na safari yao ya maisha.

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: