Kampuni ya utafiti ya Gen Z, DCDX, iliorodhesha brand 25 bora zaidi “zinazovutia” kulingana na ushiriki wake kwenye TikTok na maudhui yanayotengenezwa na watumiaji.
Kwa ujumla, orodha hii inaonyesha upendeleo wa Gen Z kwa brand zinazochochea mazungumzo ya kweli yanayoongozwa na wenzao, na zinazobaki kuwa muhimu kitamaduni katika majukwaa mbalimbali.
Chanzo; Bongo 5