Tayari Trailer Ya Kwanza Ya Filamu Ya ‘Michael’ Imeachiwa Rasmi. Filamu Hii Imechezwa Na Jaafar Jackson (Mpwa Wa MJ) Akieleza Zaidi Maisha Ya Marehemu Mjomba Wake Mfalme Wa Pop MJ. huku Kendrick Sampson akicheza kama Quincy Jones.
Filamu hii imeongozwa Na Antoine Fuqua Ikielezea Zaidi maisha ya marehemu MJ nje ya usanii pamoja na kuonyesha baadhi ya matamasha yake makubwa yaliyovunja rekodi.
Filamu Hii Itakuwa sokoni rasmu tarehe 24 Aprili, 2026.
Chanzo; Wasafi