Rapa na mfanyabiashara Jay Z "HOV" amesalia kuwa msanii pekee wa HipHop ambaye ameorodheshwa katika list ya watu maarufu waliofikia hadhi ya Ubilionea katika jarida la Forbes.
Unaambiwa utajiri wa Jay Z, unakadiriwa kuwa wa Dola Bilioni 2.5 sawa na Tsh Trilioni 6,375,000,000,000.
Chanzo; Eatv