Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Ron Muimbaji Mkongwe wa Injili Afariki Dunia

Muimbaji Mkomgwe wa nyimbo za sifa na kuabudu wa Kikristo kutoka Marekani, Ron Kenoly, amefariki dunia tarehe 3 Februari 2026 akiwa na umri wa miaka 81.

Ron Kenoly, aliyekuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili, ameacha mchango mkubwa katika muziki wa Kikristo hususan eneo la Praise & Worship. Alijulikana kupitia albamu maarufu kama Lift Him Up na Welcome Home, pamoja na huduma yake iliyogusa waumini wengi duniani.

Kifo chake ni pigo kubwa kwa jamii ya waumini na wadau wa muziki wa injili.

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: