Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Kiredio Afunguka Content Creator Kupata Hela Kuliko Wasanii

Kipenzi cha wanachuo Kiredio, anadai kuwa Content Creators wanaingiza pesa nyingi zaidi ya wasanii wengi wa muziki ambao wanafuatiliwa mtaani.

Kiredio anasema watu wasiichukulie poa Industry ya Creators sababu ukiweka juhudi unaingiza pesa za kutosha.

"Top 10 content creators Bongo mnaowajua wanaingiza pesa nyingi kuliko wasanii wengi wa muziki mnaowashangilia mtaani".

"Hii sio sifa ila mjue hii industry ina hela nyingi ukiweka juhudi, msiwachukulie poa creators respect them" ✍ Kiredio via Insta Story.

 

Chanzo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: