Mwishoni mwa wikiendi hii umeshuhudia msanii mpya kwenye game la Singeli, Dogo Paten akizindua EP yake mpya aliyoipa jina la Sikupendi.
Pamoja na hayo Dogo Paten ameeleza kuhusu sakata lililosababisha kusimamishwa kwa watangazaji wa kituo cha redio cha Mjini FM ikiwa ni baada ya kutumia lugha ya kumdhalilisha, akisema ni mipango ya Mungu.