Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Trump, Super Bowl 2026 Ni Mbaya Zaidi Kuwahi Kutokea

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa mtazamo wake alichokiona show ya Bad Bunny kwenye Super Bowl Halftime show 2026, akisema ni show mbaya zaidi kuwahi kutokea.

Rais Trump anasema kwa ukubwa wa Marekani ni dharau kuona kilichofanyika Super Bowl sababu show ilikosa ubunifu, ubora, viwango na uwakilishi wa mafanikio yao.

Pia ameongeza kusema hakuna mtu aliyekuwa anaelewa anachoimba rapa huyo Bad Bunny kutoka Puerto Rico pia dancers walichukiza sana stejini.

 

 

Chazo; Eatv

Kuhusiana na mada hii: